Mnajimu na mtabiri maarufu nchini Dk Mtakoma ubishi ametoa utabiri wake kuhusu mchezo huo ambapo nyota zinaipa Yanga mabao mawili.
Mtakoma ubishi ambaye ni mganga wa jadi kutoka Mbaramo mkoani Tanga anayetibu maradhi mbalimbali na kuweka kinga za nyumba, shamba, biashara nk amemtaja Jaja kuwa nyota yake inang'ara na atatamba msimu huu. Aidha mnajimu huyo ametabiri matokeo mabaya kwa miamba hiyo wachezapo mikoani. kwa mawasiliana naye piga simu 0658-395905