|
|
Borussia Dortmund wamemsaini straika Adrian Ramos
kutoka Hertha Berlin kwa musimu ujao katika makubaliano ya miaka minne
kuchukua nafasi yake staa wao Robert Lewandowski ambaye atajiunga na
mabingwa wa taifa hilo Bayern.
Dortmund walitangaza maafikiano na kiungo huyo wa miaka 28 kutoka Colombia siku moja baada ya kuyaaga mashindani ya kombe la mabingwa kwa 3-2 dhidi ya Real Madrid baada ya mikondo miwili ya robo fainali yao.
“Ramos ni mchezaji mashuhuri na miongoni mwa wafungaji bora zaidi Ujerumani. Anaingiana vizuri na sura ya Dortmund,” mkurugenzi wa michezo, Michael Zorc, alisema kwenye taarifa.
Ingawa ada ya kusaini mshambuliaji huyo haikutajwa, duru za habari Ujerumani ziliripoti kuwa iligharimu Euro milioni 10 au 13.79 milioni kwa Dola za MArekani.
Ramos amezaba mabao 32 kwenye mechi 89 za ligi ya Ujerumani, Bundesliga baada ya kujiunga na Hertha, 16 ambayo yamepatikana musimu huu.
“Wakati umewadia ambao nalenga hatua ingine kwenye mchezo wangu na kushiriki kwenye kombe la mabingwa wa Uropa,” Ramos aliambia tovuti la Hertha.