come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

YANGA YAANZA MAZOEZI LEO, NGASSA AWA KIVUTIO

MABINGWA wa soka nchini Yanga leo asubuhi wameanza rasmi mazoezi yao kwenye viwanja wa Loyola Mabibo jijini, Mabingwa hao wameanza mazoezi chini ya kocha wake mkuu Mholanzi Ernie Brandts aliyerejea nchini jana baada ya mapumziko mafupi nchini kwao.


Yanga imeanza mazoezi kwa jili ya kujifua na msimu ujao wa ligi kuu inayotarajia kuanza mwezi Agosti mwaka huu, Kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi yake huku winga hatari Mrisho Ngassa akiwa kivutio katika mazoezi hayo