Droo ya michuano ya kombe la FA imefanywa kwa mechi za mchujo wa raundi ya tano.
Chelsea wamepangiwa kucheza na Manchester City katika mchezo unaotazamiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu.Droo kamili:
-
Manchester City v Chelsea
-
Sheffield United au Fulham v Nottingham Forest au Preston North End
-
Arsenal v Liverpool
-
Brighton & Hove Albion v Hull City
-
Cardiff City v Wigan Athletic
-
Sheffield Wednesday v Charlton Athletic
-
Sunderland v Southampton
-
Everton v Swansea City