come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

WAZIRI MEMBE ALIVYODATA KWA DIAMOND.

  waziri Membe akimpongeza Diamond kwa kazi nzuri

 Mtwara mjini
Moja ya kivutio kwenye  shoo alizofanya msanii Diamond  mkoani Mtwara na Lindi,ni Waziri wa mambo ya nje,mheshimiwa Bernad Membe kutenga
muda wake,na kujumuika na wananchi na kufurahia pamoja kazi aliyokuwa akiifanya jukwaani.

Familia ya WCB, pia alipata wasaa wa kuhutubia wanachi na kusistiza zaidi suala zima la kuilinda na kudumisha amani,ambayondiyo nembo yetu watanania.