Kiungo
wa Komorozine Sports, Moidjie Ali akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga,
David Luhenda katika mchezo wa Ligi ya klabu Bingwa Afrika uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 7-0
Wacheaji
wa Yanga wakishangilia baada ya kuifunga timu ya Komorozine Sports
katika mchezo wa Ligi ya Klabu Bingwa Afrika uliofanyika kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa timu ya Komorozine Sports.
Mshambuliaji
wa Yanga, Mrisho Ngassa akimtoka mchezaji wa wa Komorozine Sports,
Attouumane Omar katika mchezo wa Ligi ya Klabu Bingwa Afrika uliofanyika
kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.





