come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

Hoza atoboa siri ugonjwa wa Buffa

Na Mwandishi Wetu

MMILIKI wa blogu ya kabumbu1935blogspot.com, Prince Salum Hoza hatimaye ametoboa ukwqeli juu ya ugonjwa unaomsumbua mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Crazy Buffa ambaye kwa sasa ni mgonjwa.

Akizungumza kwa njia ya simu, Hoza amesema kuwa Buffa alianza kupatwa na maradhi ya miguu akiwa kazini kwake, aliongeza kuwa baada ya kujisikia vibaya aliondoka na kuelekea nyumbani kwake ambapo kiuno kilianza kumuuma.

Ilipofika wiki moja alikua hawezi hata kusimama na maumivu makali yalianza kumsumbua, Baadaye msanii huyo alikwenda hospitali na kuchomwa sindano ambapo ugonjwa ulizidi kumuandama na safari hii mguu wa kuume ulianza kuvimba na hatimaye kutengeneza sumu na kumlaza.

Lakini Hoza ambaye ndio alikuwa wa kwanza kuonana na msanii huyo alidai afya ya msanii huyo bado haijatengemaa na anahitaji dua klutoka kwa Watanzania wote, Hoza (pichani) alionyesha masikitiko yake ambapo amesema kuwa m,paka sasa wataalamu wanakesha ili kujua kinachomsumbua msanii huyo
Photo: Hoza atoboa siri ugonjwa wa Buffa