Jana ilikuwa ni tarehe 14 october 2015, ambapo watanzania nchini kote walikuwa wakiazimisha siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa hilo Mwl Julius. K. Nyerere
Katika maazimisho hayo watu walionesha hisia zao kwa kubeba mabango yaliyokuwa na jumbe mbalimbali zikiwemo Dear nyerere.
Baba wa Taifa Mwl. Julius. K. Nyerere alifariki dunia mnamo tarehe 10 october 1999 huko nchini uingereza